Ali Kiba Akataa Kuitwa Mungu wa Bongo Fleva 'Naomba Msiniite Hivyo Siwezi Kuwa Hivyo'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ali Kiba Akataa Kuitwa Mungu wa Bongo Fleva 'Naomba Msiniite Hivyo Siwezi Kuwa Hivyo'
Jinsi mashabiki wa soka wanavyochizika muda mwingine, ndivyo hivyo hata katika muziki. Kitu hiki kimemtokea shabiki mmoja wa Alikiba kitu kilichopelekea kumuita msanii huyo ‘Mungu wa Bongo Flava’.

Hata hivyo kilikuwa ni kitu ambacho hakikumpendeza Alikiba, ndipo alipoamua kumjibu shabiki huyo ambaye anatumia jina la Kibasalu katika mtandao wa Instagram;

Officialalikiba @kibasalu naomba msiniite hivyo siwezi kuwa wala siwezi kukubali imani yetu haturuhusu kujiita au kuitwa na mtu yoyote ule jina la MUUMBA.

Comment hiyo ya Alikiba inakuja mara baada ya shabiki huyo kwenda kwenye moja ya picha za msanii huyo katika mtandao wa Instagram na kuandika, ‘Bongo flaver god’.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe ni King tu.na ninakupa heshima kubwa kwa kukataa ,hiyo ni kufuru kama ya firauni alipojiita MUNGU .ALI KIBA kuwa na msimamo wako huo huo.supporter wako kutoka Oman

    ReplyDelete

Top Post Ad