Diamond Afunguka " Nikimaliza na Alie South na Nikawa na Mwingine Nitaweka Wazi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Amekasirika na kuamua kufunguka haya baada ya kila siku kusingiziwa anatoka na huyu na yule:


" Mara Diamond Kamla Huyu, mara sjui naskia anatembea na Huyu, Mara Ooh sjui inasemakana juzi alikuwa na Huyu...Yani kila Ukiamka limezuka jipya, Utazani yangu Ina Sukari au Nakojoa dhahabu.....Hebu Niacheni kidogo, niko Busy nahangaika kuipeleka Bongo fleva yetu Duniani.... Sijamkaza yoyote, na Sina Mahusiano na Yoyote anaetajwa, na Siku pia Nikimaliza Mahusiano yangu na Alie South na nikawa na Mwengine na ikifikia kuliweka wazi ntaliweka wazi Mwenyewe, Maana hakuna kitachonizuia coz Sijaoa na Hata nikioa Naruhusiwa niwe na wake Wanne PERIOD!!!.... " Diamond
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. dont talk none sense nobody wants to know inna sukari au chumvi na wala unakoja dhahabu au luku umeyatafuta mwenyewe ulifikiri Zari ni bwege cuma jasho lako tafuta wasichana ur age sio unavamia mimi iliopititwa na wanaume ishirini kidogo waliotahiriwa na wasiotahiriwa mwanamke asie kuwa na dini,anae asietaka wazazi wako isitoshe dini yake haijui,hajijui hajitatambui epukana nae uliza wenzako walio pitia hayo huyu zar dini pia alibadili na akawa baptise so imani iko wapi? unamkadirikua Hamisa kwa kusema ukweli why because of zari asijue what the hell

    ReplyDelete
  2. hauna haja ya kutangaza hatutaki kuyajua wapeleke kina shilawadu watakufanyia advertisement isitoshe kwa nini uhangaike wrwe bado mdogo ise utapata wako vitoto vizuri vidogo vibichi achana na huyo mama kula siku anajizuzua na maselfie leo hotel hii kesho tumeshmgundua miwigi na mirangi wewe na mtoto wake mkubwa umri ni huo huo

    ReplyDelete
  3. Diamond grow up.... usipokuwa makini utaporomoka kama walio kutangulia........

    ReplyDelete
  4. embu mshaurini Diamond asome alama za nyakati zimeanza kujiandika ukutani...

    ReplyDelete
  5. Zari na diamond zilipendwaa

    ReplyDelete

Top Post Ad