Gigy Money: Nachukia Umalaya Unashusha Hadhi ya Mwanamke

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Gigy Money:  Nachukia Umalaya Unashusha Hadhi ya Mwanamke
Msanii wa Bongo Fleva na Video Queen, Gigy Money amefunguka kuwa moja ya vitu anavyovichukia katika maisha yake ni umalaya huku akidai tabia hiyo inashusha hadhi ya mwanamke.

Gigy Money amesema anajua kuwa kuna wanawake wanaishi mjini kwa kazi hiyo lakini yeye hawezi kufanya kazi hiyo na ndio kazi anayoichukia maishani mwake.

“Nachukia sana kazi ya umalaya najua watu wengi hasa wasichana wengi wanaifanya na wanaipenda ila haina faida kubwa, faida yake ni ya muda mfupi,“amesema Gigy Money kwenye mahojiano yake na Bongo5 jana (Ijumaa) kwenye sherehe ya Mtoto wa Hamisa Mobetto.

Hata hivyo, Gigy Money amekiri wazi kuwa alishawahi kudanga kipindi cha nyuma lakini kwa sasa ameacha tabia hiyo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad