AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kwenye ukurasa wake wa twitter Joshua Nasari ameandika ujumbe huo, akisema kwamba kuna haja ya Zitto Kabwe kufanya hivyo kwani wakati uliopo sio salama tena.
"Nadhani ni wakati sahihi sasa ndugu yangu Zitto Kabwe ukaongeza ulinzi wako binafsi, nyakati hizi si salama tena kama tudhaniavyo", ameandika Joshua Nasari.
Hivi karibuni baadhi ya wabunge wa upinzani wameripoti kuhofia usalama wao, kwa kufuatiliwa na watu wasiojulikana na kutishia maisha yao.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Zito yeye aanashida maaana umeaikia marangapi anatafutwa na police mpaka leo ajakamatwa
ReplyDeletePia ulinzi ni kwa Mungu na sio kutoka kwa mwanadamu
hahahah! usiogope kivuli chako dogo, UKILIKOROGA-UTALINYWA.............
ReplyDelete