Kenyatta Aidhinisha Kutolewa kwa Dola 120Milioni za Uchaguzi Mpya Kenya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kenyatta Aidhinisha Kutolewa kwa Dola 120Milioni za Uchaguzi pya Kenya
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameidhinisha mswada wa bajeti ndogo ambao umetenga Kshs 12 bilioni (Dola 120 milioni) za kutumiwa na Tume ya Uchagizi katika uchaguzi mkuu mpya tarehe 26 Oktoba.
Kadhalika, kutengwa kwa Kshs 25 bilioni za kutumiwa kufadhili mpango wa elimu ya sekondari bila malipo ambao Rais Kenyatta alikuwa ameahidi kwenye kampeni kwamba utaanza kutekelezwa Januari mwaka ujao.
Aidha, kuna Kshs 6.7 bilioni za kufadhili ununuzi wa mahindi kuhakikisha kuuzwa kwa unga wa bei nafuu.
Wazee wa miaka 70 na zaidi wametengewa Kshs 6.7 bilioni chini ya mpango wa Inua Jamii ambao hutoa malipo kila mwezi kuwasaidia kujikimu kimaisha
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad