Maneno ya Zitto Baada ya Nyarandu Kujiuzulu ' Umeonyesha Uongozi, Unahitaji Roho Ngumu Kuwa CCM '

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Maneno ya Zitto Baada ya Nyarandu Kujiuzulu ' Umeonyesha Uongozi, Unahitaji Roho Ngumu Kuwa CCM '
Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo Zitto Kabwe amefunguka na kumpongeza aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini Nyalandu ambaye leo Oktoba 30, 2017 amefanya maamuzi ya kuachana na CCM na kusema kiongozi huyo amefanya maamuzi sahihi.

Zitto Kabwe amesema kuwa kutokana na uchumi unavyoporomoka haki za watu zinavyovunjwa jambo alilofanya Nyalandu ni sawa na kuwa huko ndiyo kuonyesha uongozi.
"Lazaro Nyalandu, umeonyesha Uongozi. Kwa namna haki za watu zinavyovunjwa na Uchumi wa nchi unavyoporomoka, unahitaji roho ngumu Sana kuwa CCM. Umefanya maamuzi sahihi, wakati sahihi na Kwa sababu sahihi. Kila la kheri|" aliandika Zitto Kabwe
Lazaro Nyalandu leo ametangaza kujivua nafasi zake ndani ya Chama Cha Mapinduzi na kuandika barua yake ya kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge kwa kile alichodai kuwa Chama Cha Mapinduzi na Bunge vimekuwa vikishindwa kuisimamia serikali na badala yake kutumiwa na serikali jambo ambalo yeye anaona halina afya katika maendeleo ya nchi na linadidimiza haki mbalimbali.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera ndugu Nyalandu. Youvarevtoo important to the people of this nation.umekuwa mzalendo safi bila woga kusimamia haki za watanzania, na nchi kwanza. Huu ndio uongozi wa kweli.Inawezekana kulinda utu badala ya pesa. Mungu kskupa ushujaa, na akusaidie kuwaelimisha hasa vijani kwamba tunaweza kulijengavupya taifa huru lenye maendeleo ya kweli.Huu uwe mfano kwa wengi wanaotumika visivyo na serikali na ni waoga wa kupiteza kazi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mmmmmmm??????????Kuna walakini tu, yatawashinda awamu hii si ya mchezo au lelemama ya kuibiana, hapa hakuna kuibiana au madeal

      Delete
  2. hamna kitu hapo ni ule ule ujinga tu, wa climinal mind. Na mentality za bara hili, kumekuwa hakuibiki walaaa ufisadi Sasa wanatapatapa, kwani siasa bara hili ni utajiri na watu wale ni masikini, Walio wengi wanawaza utajiri tu, Sasa halipo popote linatafuta kwa njia tofauti, limeharibu weeee huko malia asili kwa kuuza na kupiga wanyama kiholela, huko chadema kutakuwa kichaka cha majambawazi, wezi, ufisadi rushwa na kama si kampuni ya kupigania mufirisi wa nchiii,

    ReplyDelete
  3. Zitto Zubeli Kabwe...!!!
    Kweli wewe hamnazo..!!!
    Kama hujui ukweli Ni kwamba CCM
    Wamemsimamisha Na kumvia majukumu yote aliyokuwanYo
    Upo Dogo...mie nilikuwa nakuona WA MAABA..KUMBE HUFAI HATA HUELEWAGI KWA CENRI YA MAJI (NDURURU)
    Zitto Zuberi Kabwe..siasa huziwezi WA huzijui.
    Ikiwa ya Nyalandu muuza Twiga Na Tumbili umeamini maneno take basi itabidi urudi Darasani Na kwa lugha utakayo uelewa wewe.
    Mlitua hasara nchi yetu kukupelekeni kule kumbe lugha huielewi umekula posho Na Ada.
    Kumbe ndiyo wale wale HEWA.
    ZITOO ZUBERI KABWE..KUMBUKA HII NI AWANU YETU YA TANO ..
    NA KASI YAKE HUIWEZI..INEKUTUPA MBALI. NA HAILEMBI WALA KUFAGILIA...!! HAPA Kazi Tu

    ReplyDelete

Top Post Ad