Mange, Wema Wang'aa Matibabu ya Lissu Wakusanya Zaidi ya Milioni 60

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mange, Wema Wang'aa Matibabu ya Lissu Wakusanya Zaidi ya Milioni 60
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amedai Wema Sepetu, Mange Kimambi pamoja na team yao ya mtandaoni wamefanikisha kupatikana kwa pesa zaidi ya milioni 60 kwaajili ya matibabu ya Mh Tundu Lissu ambaye amelazwa nchini Kenya kwaajili ya matibabu. Amedai warembo hao pamoja na wadau wengine mitandaoni waishio nchi za nje waliweza kuchanga kupitia mitandao na kufanikisha kupatikana kwa hela hizo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad