AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungumza na moja ya Televisioni hapa nchini, John Heche amesema wamekuwa wakipokea vitisho vikali juu ya kufanya siasa na kukososa utendaji wa serikali, kitu ambacho ni wajibu wao kama vyama vya upinzani bungeni, hivyo kama wanaona wanafanya kosa basi ni heri wafute vyama hivyo.
John Heche ameendelea kusema kwamba kukosoa serikali sio uhaini bali ni kufanya kazi kadri ya sheria za nchi zinavyotaka, lakini kwa hali ya sasa hivi ilivyo imekuwa inaonekana kinyume, na kuhatarisha usalama wao na familia yao.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Nani afute? mnaweza mkakifuta chama chenu wenyewe, kwani mlilazimishwa kujisajili, pambaneni na hali zenu, msimtafute mchawi
ReplyDelete