Mobetto: Simchukii Zari kwasababu Watoto Wetu ni Ndugu na Ipo siku Watatembeleana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mobetto: Simchukii Zari kwasababu Watoto Wetu ni Ndugu na Ipo siku Watatembeleana
MSANII na mwanamitindo Hamisa Mobeto amefunguka kuhusu uhusiano wake na Zari kuwa ana tatizo na mke mwenzake huyo kuwa hamchukii kwa sababu watoto wao ni ndugu.

Alisema mwanzo hakuwa anamkubali. Alipoulizwa uhusiano wake na mke mwenza huyo alifunguka na kusema:
“Mimi sina tatizo naye kwa sababu watoto wake ni watoto wangu kwa hiyo mimi sina tatizo ipo siku watoto ( wa Zari) watataka kuja kumuona ndugu yao au huyu wangu atataka kuwaona ndugu zake, tuwaruhusu tu, kwa sababu sisi wote ni wake wa mtu mmoja, kwa hiyo hatupaswi kuwa na matatizo, ila kwa mimi sina tatizo naye,” alisema Hamisa Mobeto.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. haya maneno ni sawa kabisa isitoshe watt dhambi zao nini wewe bi ajuza lazima ukubaĺi ukweli usiropoke maneno kwa chuki juu ya kuwa una uwezo kushinda mwenzako huwezi kujua atakae kushika mkono au kukuzika no nani so kuwa muungwana kama mwenzio yeye hana kosa ni mwanamke ametongozwa na kumbe kabla yako so mlaumu bwana ako ambae ni bwana wenu wote

    ReplyDelete
  2. safi sana Hamisa. waache wanuka midomo wabwabwaje.

    ReplyDelete

Top Post Ad