Mrisho Gambo Awapa Makavu Nassari na Lema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrisho Gambo Awapa Makavu Nassari na Lema
RC Mrisho Gambo, amefunguka na kuwachana wabunge , Joshua Nassari na Mbunge wa Arusha Mjini na kusema mambo wanayozungumza kuhusu madiwani kununuliwa ni uzushi mtupu na kuwataka kama kweli wao wanaume wabishane kwa utatuzi wa matatizo ya wananchi.

Gambo amezidi kusisitiza kuwa madiwani hao walihama CHADEMA na kwenda CCM kutokana na ukweli kwamba wakiwa CCM ni rahisi kutekelezewa hoja zao na matatizo yao kwa kuwa ipo njia ya Serikali kukutana na Chama kilicho madarakani ambacho ni CCM.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad