AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kupitia ukrasa wake wa instagram steve Nyerere alianza kwa kuandika hivi
"Hii ni familia mpya ndugu yangu Joti ' hakuangalia ule usemi mama wa kambo si mtu mzuri ameangalia mapenzi na utu wa anayemuoa kwa watoto wake na familia yake si wamama wakambo wote wana roho mbaya apana, bali mazingira ya hiyo roho inawekwa na wewe baba kama huna misimamo ya familia yako kwa mwanamke mwenyewe mwenye kukupenda wewe atapenda na watoto wako na familia yako. Joti jana ulilia ukumbini nikajiuliza kwanini ulilia nikapewa jibu mtoto wako amepata mtoto bora huo nao ni ujasiri sana kuhakikisha mama huyo mnayeingia naye mkataba wa kidini anakuwa mama bora, tumekuwa watu wa kukalili unayezaa naye ndio mama bora kumbe si kweli Joti umetengua kauli Joti wewe ni shujaaaa,,,,," aliandika steve Nyerere
Baada ya posti hiyo ya Steve nyerere mwanamama huyo naye akajibu kupitia ukrasa wake wa Instagram ameandika hivi na kumtagi Steve Nyerere
"Naitaji kusema hivi huyu mtoto wangu na mm ndo niliemzaa haata mama awe chizi, tahila, mjinga ndo mama ake na hatokuja kutokea yoyote ukafananisha upendo wake na mama yake kwa hiyo sitaki maneno na mtu yeyote kama unataka kupongeza kitu kizuri kilichoanyika tumia maneno yasiyomuhusu mwanangu nadhani umenielewa na maana yako nini kuongea ulichoongea sijapenda wewe ni mkubwaa jielewe ufupi usikufanye ukajiona bado mdogo @stevenyerere2 @stevenyerere2"
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Sawasawa tatizo steve nyerere alikimbia shule
ReplyDelete