Naichukia Sana Tatuu Yangu Ningekuwa na Uwezo Isingekuwepo Kabisa- Wema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naichukia Sana Tatuu Yangu Ningekuwa na Uwezo Isingekuwepo Kabisa- Wema
STAA mwenye nyota kali Bongo, Wema Sepetu, amefunguka kuwa hakuna kitu ambacho anakichukia kwenye mwili wake kama tatuu yake ambayo iko shingoni.
Wema alisema alichora tatuu hiyo akiwa bado mdogo na alimwambia mchoraji achore kitu kirefu kishuke shingoni ndipo alipochora kitu kama mjusi.
“Natamani sana kuifuta tatuu yangu hii lakini nasikia vibaya na pia naambiwa kuwa inauma sana kuifuta lakini ningekuwa na uwezo isingekuwepo kabisa,” alisema Wema.

Chanzo Global Publishers
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hatutakua vijana siku zote na maamuzi tunayo yafanya wakati wa ujana wetu yatakuja kutuathiri uzee wetu.

    ReplyDelete

Top Post Ad