AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wema alisema alichora tatuu hiyo akiwa bado mdogo na alimwambia mchoraji achore kitu kirefu kishuke shingoni ndipo alipochora kitu kama mjusi.
“Natamani sana kuifuta tatuu yangu hii lakini nasikia vibaya na pia naambiwa kuwa inauma sana kuifuta lakini ningekuwa na uwezo isingekuwepo kabisa,” alisema Wema.
Chanzo Global Publishers
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hatutakua vijana siku zote na maamuzi tunayo yafanya wakati wa ujana wetu yatakuja kutuathiri uzee wetu.
ReplyDelete