Nambamba ya Aslay Aishikiki You Tube Yafikia Watazamaji Milioni Moja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nambamba ya Aslay Aishikiki You Tube Yafikia Watazamaji Milioni Moja
Licha ya kuwekewa kikwazo cha umri,  video ya wimbo Natamba imeendelea kufanya vizuri Youtube na kufikisha watazamaji milioni moja.

Video hiyo ya Aslay iliwekwa mtandaoni Oktoba 4 ambapo hadi leo Alhamisi inafikisha siku saba na inaendelea kushika namba moja kwa siku tatu mfululizo kuwa video inayotazamwa zaidi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram siku chache zilizopita Aslay alilalamikia kuwepo kwa watu waliotoa taarifa mbaya kuhusu video hiyo na kusababisha kuwekewa kikwazo cha umri.

Video hiyo inaangaliwa na watu wenye umri usiopungua miaka 18.

Katika kurasa mbalimbali za mtandao wa Instagram zimetapakaa video za watu wanaojirekodi wakiimba wimbo huo ambao umepata umaarufu siku chache baada ya kuachiwa.

Natamba ni miongoni mwa mfululizo wa zaidi ya nyimbo 10 nkali kutoka kwa Aslay alizoziachia ndani ya mwaka huu baada ya Yamoto Band kusambaratika.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad