Nape Nhauye Amwita Raila Odinga Kibaraka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye amefunguka na kumtabiria ushindi mgombea Urais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kusema kuwa atashinda uchaguzi huo ambao utafanyika Alhamisi Oktoba 26, 2017 na kusema Uhuru ndiye anayestahili kuongoza nchi hiyo.
 Nape Nnauye amedai kuwa Uhuru Kenyatta anastahili kuwa Rais wa Kenya kwa sababu yeye ni mwana demokrasia wa kweli hivyo anaamini raia wa Kenya watampa kura nyingi za kutosha na kumpuuza mpinzani wake Raila Odinga.

"Unastahili kuwa Rais wa Kenya. Mwana demokrasia wa kweli. Naamini ndugu zangu wa Kenya watakuchagua kwa kishindo kesho na kumpuuza kibaraka" ameaandika Nape Nnauye kupitia mtandao wake wa twitter.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dongo kizani........TUMEKUSOMAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  2. Nape acha upayukaji, unazielewa vizuri siasa za Kenya? hivi Odinga ni kibaraka wa nani? yaani wewe ndo umekuwa sauti ya Kenya. Naona kiherehere, uzumbukuku na ulipyoto tu hapo. Sayonara

    ReplyDelete
  3. JPM kumtema huyu jamaa kwenye baraza lake, aliona mbali kwakweli.......unaingiliaje mambo yasokuhusu?? Pilipili uso-ila, yakuwashiani?? Au kwasababu Odinga ni 'best' yake na 'MKUU' ndio akaamua kutupa 'dongo-gizani' hahahahaha anyway, endelea kujifariji, utafanyaje sasa tehetehetehe

    ReplyDelete

Top Post Ad