Natamani Sana Kuwa Mama na Ikitokea Siwezi Kupotea Kwenye Muziki- Ruby

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Natamani Sana Kuwa Mama na Ikitokea Siwezi Kupotea Kwenye Muziki- Ruby
MWANADADA kutoka kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ amefunguka kuwa hawezi kupotea kimuziki kisa kuzaa.
Ruby aliiambia Mikito Nusunusu kuwa, anatamani sana kuitwa mama na haofii kuwa atapotea kimuziki kama inavyotokea kwa wasanii wengine kwa sababu amejipanga kikamilifu.
“Natamani sana kuitwa mama kwa kweli na ikitokea muda wowote nitamshukuru Mungu na nitazaa maana sina kipingamizi, siwezi kupotea kimuziki maana mtoto ni moja ya baraka pia,” alisema Ruby
Chanzo Global Publishers
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad