Nikki wa Pili Afunguka Sababu ya Kuandika Mambo Kwenye Mtandao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nikki wa Pili Afunguka Sababu ya Kuandika Mambo Kwenye Mtandao
Msanii wa kundi la Weusi, Nikki wa Pili ameeleza sababu ya kupendelea kuandika mambo chanya (positive) katika mitandao ya kijamii.

Rapper huyo amesema kuwa anapendelea kufanya hivyo kutokana huwa anajifunza/kusoma vitu vingi hivyo kila ambacho anakuwa amekipata kwa wakati huo anaamua kuwashirikisha na wengine.

“Unajua wazo kama umeliwaza ukikaa nalo linakuwa halina maana, kwa hiyo ukishare uwezi kujua, mtu mwingine anaweza kuliendeleza kutokea pale, unaweza kumsaidia mtu kutazama kitu tofauti na alivyokuwa akitazama zamani” Nikki wa Pili ameiambia Bongo5.

“So all idea ya kuandika mambo katika Instagram ni kushare mawazo ili na mimi nipate feedback, kwa sababu unaweza ukawa umejifunza kitu inakuwa wewe ndio umejifunza vile huenda watu wengine wengi wanajua tofauti, so unapotoa mawazo yako unatoa nafasi ya kusikia mawazo mengine” ameongeza Nikki.

Nikki amekuwa akiandika mambo mbali mbali kama vile siasa, muziki, mahusiano, elimu, uchumi nakadhalika katika mitandao yake ya kijamii ya Instagram na twitter.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad