TAKUKURU yalalamikiwa Kagera

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkazi mmoja  wa kijiji cha Nyambale wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera ameilalamikia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU kwa kushindwa kumkamata Mkuu wa Kituo cha Polisi Lusahunga anayedaiwa kuomba rushwa ya shilingi Milioni moja ili

aweze kuziachia ng'ombe 20 alizozikamata wakati zikipelekwa mnadani kwa madai kuwa hazikuwa na vibali vya kusafirishwa.

Akibainisha hayo mbele ya kamera za ITV Bi Bilatwa Mabuga katika kijiji cha Kibale na kusema kuwa tukio hilo limetokea wakati akisafirisha mifugo yake kutoka wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma kwenda kwenye mnada wa katoke wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa kitongoji cha Kabumbilo Bw.  Paul Mussa aliyehusika kuwadhamini watuhumiwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku Katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Biharamulo Bi. Joyce Massi amelaani vikali unyanyasaji uliotokea.

Akijibu malalamiko hayo kwa masharti ya kutopigwa picha Mkuu wa TAKUKURU wilaya ya Biharamulo Bw.Hassan Mossi amekiri kupokea malalamiko ya mfugaji huyo
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad