Ufafanuzi Watolewa Kuhusu Gari Alilotumia Makonda Akiwa Zanzibar

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mahmoud ameeleza kusikitishwa kwake na taarifa zisizo za kweli zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari kuhusu gari alilolitumia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alipokuwa ziarani mkoa humo.

Mahmoud ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram, baada ya kuwepo kwa taarifa mbalimbali kuhusu gari aina ya Range Rover ambayo ilikuwa na namba za usajili zinazoonyesha kuwa ni la RC Dar es Salaam.

“Unaweza ukasikitishwa sana pale unapoona chombo kinacho aminiwa kwenye maswala ya habari kuwa ni chanzo cha upotoshaji!. No research no right to speak !.”

RC Mahmoud aliendelea kueleza kuwa, “Hii sio gari ya serekali au ya ndugu yangu Paul Makonda! Kilichokuwepo ni nini? In fact hakuna asojua kuwa ndugu yetu Paul yuko Zanzibar na Mimi nikiwa kama mwenyeji wake ndani ya mkoa wangu!.”

RC Mahmoud alisema kwamba, kinachosumbua watu kuhusu gari hilo, ni watu kutokufahamu taratibu zinazo wahusu viongozi hao.

“Hii ni gari ya mtu binafsi imetumika kwa mdaa wakati ule wote wa Mkuu wa mkoa wa dar es Salaam kuwa zanzibar katika kilele cha mbio za mwenge na maadhimisho ya kifo cha Baba wa taifa pamoja na ziara yake katika mkoa wa mjini magharibi!.”

Kwa upande wake RC Makonda alisema kwamba, sio kwamba watu wanaozusha habari hizo hawajui ukweli, bali wanakerwa na upendo ambao ameonyeshwa na kiongozi huyo akiwa ziara Mjini Magharibi.

“Mhe Rc na Kaka yangu mpendwa @ayoubmahmoud_ . Hawa Watu wanajua wanachokifanya na wanaelewa kabisa kwamba nilikuwa Zanzibar. Wanachoumia ni upendo na ukarimu wako na watu wako wa unguja kwangu. Tuchape kazi maneno niya
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. dr kanyat,,,matatizo za ini,,,figo,,nguvu za iume,,uzazi... uti sugu,,kukuza uume kwa mitishamba,,kuongeza hips shape na makalio..bawasir. mpigie 0744903557 tanga
    Vumbi la congo..dawa za mapenzi ..mvuto zipo pia

    ReplyDelete

Top Post Ad