Afande Sele " Kanumba Alivuna Alichopanda ila Lulu Unyonge wa Kisichana na Umri Vimebaki Mateso Kwake"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

AFANDE SELE :

"Nikiwa kama mzazi wa mtoto wa kike ninaempenda sana na kutamani kumuona akitimiza ndoto zake muhimu kwenye maisha kama kupata elimu kwa wkt muafaka…lkn niliumia zaid baada ya matatizo aliyoyapata lulu kupitia kanumba na kwa hakika sikua miongoni mwa waliohuzunika wala kushiriki kivyovyote ule msiba wa kanumba ingawa wkt wote wa pilika za msiba ule mimi nilikua dar tena palepale sinza msiba ulipokuwepo…sikutaka kuvaa joho la unafki kama ilivyo kwa waTz wengi…kwangu hata sasa kanumba ni mtu mbaya na alifanya kitendo kibaya kabisa dhidi ya bint mdogo aliyepaswa kumsaidia kufikia malengo na sio.kumtumia kwa sababu ya umaarufu wake…leo kanumba amepumzika au anapambana na Mola wake kwa kutofuata yale maandiko yasemayo kuwa’TAMAA Ikichukua Mimba Huzaa Dhambi na Dhambi Ikishakukomaa Huzaa MAUTI…Kanumba amevuna alichopanda lkn Lulu unyonge wa kiumri na udhaifu wa kisichana vimebakia kuwa mateso ktk maisha yake…MUNGU ni mwema atamuafu Lulu amalize kifungo chake salama kama alivyompa kanumba haki ya matendo yake mabaya kwa kumlaza mapema…Mwisho wa siku wote wawili wabarikiwe kwa kutufundisha tuliobakia ili tuchague njia sahihi za kupita….DUNIA..GUNIA"
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. haya ni maneno sahihi kabisa alimtumia na familia yake wanajua leo maskini lulu ndie kaonekaniwa na hatia Mungu ni mwema lulu atatoka jela huyu mama kanumba alikuwa anataka lulu awe chini yake amtumie kama alivofanya mwanae lakini ilikuwa kinyume na ndio lulu kafika alipofika yataisha

    ReplyDelete
  2. AFANDE UMESEMA KWELI TUPU NAKUBALIA NA WEWE KWA 100% KABISA. TAMAA Ikichukua Mimba Huzaa Dhambi na Dhambi Ikishakukomaa Huzaa MAUTI. Alipawa kumtumza na kumlinda sio kumtumia. Lulu alitakiwa kuwa huru kosa ni la Marehemu.

    ReplyDelete
  3. umenena kwa hekima kubwa sana. ubarikiwe.

    ReplyDelete
  4. very true lines! Afande.

    ReplyDelete

Top Post Ad