Huyu Hapa Rapa Aliyejionyesha Sehemu Zake za Siri Kimakosa Instagram Live

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huyu Hapa Rapa Aliyejionyesha Sehemu Zake za Siri Kimakosa Instagram Live
Rapa na staa kutoka nchini Afrika Kusini, Mthembeni Ndevu, a.k.a Emtee amejutia uzembe wake wa kutokuwa makini katika kuitumia huduma ya kuoneaka mubashara/live ya mtandao wa Instagram baada ya kujianika sehemu zake za siri bila kutegemea.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram wenye jumla ya zaidi ya wafuasi 749k, Emtee alikuwa mubashara/live akijibu majibu ya mashabi waliokuwa wamejiunga katika orodha ya wafatiliaji wa video iliyomuonesha Emtee ambapo akionekana kuwa chooni katika hatua za kuhusika na haja ndogo, ndipo kosa hilo likatokea.

Emtee ametolea maelezo ya jinsi tukio hilo lilivyo tokea katika hali ya uzembe, aliuambia mtandao Times Lives wa nchini Afrika Kusini kuwa “Nilikuwa chooni nikijibu maswali ya mashabiki moja kwa moja. Nilitaka kujisaidia haja ndogo lakini bila kufikiria nikatumia mkono huo huo niliokuwa nikishikilia simu yangu wakati nilipokuwa nikiendelea na haja ndogo na kutumia mkono huo huo kupiga picha. Sikufikiria kuhusu kilichofanyika hadi nilipogundua kwamba kile nilichofanya na nikaomba msamaha.

Hata hivyo kwa watu maarufu kwa hiki kilichomtoke Emtee kitakuwa somo ili kujiepusha na fedhea zisizo za lazima kwakuwa uzembe wa namna hii unaweza kutokea kmuda wowote katika hali isiyotagemewa.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad