AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akibonga na Star Mix, Kidoa ambaye anashikilia Taji la Ijumaa Sexiest Girl 2015 alisema kuwa, jambo ambalo linamstajabisha ni kitendo cha mastaa wengi Bongo kumsapoti Zari na kumponda Hamisa, kana kwamba hawamjui ilihali ni Mbongo mwenzao.
“Siyo sawa wasanii wenzangu wanavyomnyanyapaa Hamisa, kutwa kumpiga vijembe, wanapaswa kukumbuka kuwa hakuna ajuae kesho yake, huenda hata yeye hakuwaza kama yangemfika hayo,” alisema Kidoa
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Tatizo sisi wabongo hatupendani na wivu chuki vimetujaaa sana,sijawahi ona watu wanaochkia raia wenzao kama sisi wabongo,kuzaa ni maisha ya kawaida,na matumizi ni muhimu kwa motto tena pale ambapo baba umeshamkubali motto ni lazima utoe matumizi najua sharia zitafuatwa vizuri tu hamisa utapata haki za motto wako .
ReplyDeletehapo umenena kwani kuzaa na daimond ni kosa au huyu zari daimond ni mume wake kwanza hao wanao mundama Hamisa wao hawajawahi kuchukuliana mabwana pili huyu daimond hajaoa halfu isitoshe mapenzi hayachagui au hamisa alimlazimisha daimond walikuwa wanapendena hata mama ake daimond si alikuwa anapendelea mwanae awe na Hamisa wakati zari alikuwa akiwanyari wamejesahau wacheni chuki na wivu Hamisa ni mbongo mwenzetu kuna msemo unasema charity begins at home so kuweni na umoja pendaneni mupate baraka Hamisa dont worry my dear Allah yuko nawe haki ya mtoto wako utaipata
ReplyDeletewhat is so special na daimond au nyie muandama mwenzenu kisa kuzaa na daimond kwani huyu zari si alimnyakulia wema sepetu sasa iweje mumuandame hivo hata mume wa mtu i mean to say mwanaume aliefunga ndoa huwa anazaa nje ya ndoa so kosa kubwa lipi alilo lifanya Hamisa si wametakana wakaridhiana huyo zari si alijidae kamuachia hamisa ilikuaje akaramba matapishi yake wacheni chuki binafsi kumyia mwenzo midomoni Musisahau kuna Mungu na huyu bi sandra hujafa hujaumbika na una mtoto wakike na ajukuu na malipo ni hapa hapa alafu siku hizi huchelweshwi unapata kipigo hapo hapo ogopa mungu sio binadamu
ReplyDelete