Kikwete Ajivunia Kustaafu Kwake Urais "Staree ya Kustaafu Kujifanyia Mambo Yako Kama Manunuzi ya Mahitaji"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kikwete Ajivunia Kustaafu Kwake Urais "Staree ya Kustaafu Kujifanyia Mambo Yako Kama Manunuzi ya Mahitaji"
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete ameendelea kuonyesha maisha yake mara baada ya kustaafu.


Mhe. Kikwete ambaye amekuwa akionyesha shughuli mbalimbali anazofanya kwa sasa kama kilimo na ufugaji tangu kustaafu kwake, kwa sasa ametumia ukurasa wake wa mtandao wa twitter na kuonyeha anapoenda kununua mahitaji ya nyumbani na kuandika;

Starehe ya kustaafu na kubakia kuwa raia mashuhuri ni kuweza kujifanyia mambo yako mwenyewe ikiwemo manunuzi ya mahitaji ya nyumbani.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mzee Jakaya Mrisho Kikwete Basi inatosha.
    Wacha tuendelee kushughulikia HEWA ulizo ziwacha kila Kona.
    na wewe pumzika Msoga Tuli kama maji mtungini.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sanaaaaaa anon umesema, Zama sake zimeshaisha hizi Zama zingine Sio za wezi Sara rushwa walaa mafisadi ni Zama za kazi na wala Sio Zama za uvivu kujipatiakipato bila ya kufanya kazi toka kwa wanyonge

      Delete

Top Post Ad