AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Baba wa Marehemu |
Umati mkubwa watu ulijitokeza katika msikiti wa Qaddafi huko Nyamirambo Rwanda kwaajili ya kumuaga mwanasoka huyo mkongwe. Angalia picha.
Mama yake marehemu Ndikumana akilia kwa uchungu.
Ndikumana anadaiwa kufariki muda mchache baada ya kutoka mazoezi akiwa kama kocha wa timu ya Rayon Sports.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
kwani alikuwa muislamu? mbona alifunga ndoa na irene kanisani?
ReplyDelete