AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mh. Nyalandu ameyaanisha hayo leo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo amesema kuwa Tanzania iruhusu ushindani na demokrasia ya kweli Tanzania.
NAWASHUKURU Watanzania WOTE walioniletea salaam kuunga mkono uamzi wangu wa kujiondoa CCM. Turuhusu ushindani na demkrasia ya kweli Tanzania
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
mpuuzi wewe tueleze kwanza twiga na tumbili wetu kwanini uliwapandisha ndege
ReplyDeleteUkitoka CCM kwenda chadema ni sawa, lakini ukitoka chadema kwenda CCM umehongwa.....hahahaha amakweli NDEGE-WOTE-WALIE-AKILIA-BUNDI-UCHURO!
ReplyDeleteKwendlaaaa kule wala huna faida yoyote ya uongozi kwa Taifa hili, kajambe mbeleee kule kwa mafisadi wenzio, huku kuna baba Magu ataki ufisadi wala wizi, Bali uchapa kazi, kama mataifa ya wenzetu wankojielewa, Sio ya bara hili, Tanzania watu wameamuka Sasa, hawaja lala na hawatolala tena maanake wanasema usimuamshe alie lala usije ukalala wewe, umepitwa babu na wakati umeshakuwa wa Enzi zile na ukaharibu kwa tamaa ya kifsadi na rushwa na wizi, Sasa tenaaa weweee wa Nini?
ReplyDelete