Sanchoka Afunguka Kuhusu Dkt. Shika 'Siwezi Kuduu na Dkt Shika'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sanchoka Afunguka Kuhusu Dkt. Shika 'Siwezi Kuduu na Dkt Shika'
MWANAMITINDO maarufu Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa maneno yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ana mpango wa kumsaka Dk. Louis Shika ‘aduu’ naye ni uzushi tu, kwani mzee huyo anamuona kama baba yake mzazi.

Akizungumza na gazeti hili, Sanchi alisema hata apewe mabilioni ya fedha kamwe hawezi kubanjuka na Dk. Shika mwenye umri unaoendana na wa mzazi wake.

“Hakuna kitu kinachoniuma kama watu wanavyosambaza kuwa mimi namtamani sana Dk. Shika, yule ni kama baba yangu kabisa, naanzaje kumvulia nguo? Si nitapata laana bure,” alisema Sanchi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Basi nivulie mie

    ReplyDelete
  2. Acha uwongo wewe, hata angekuwa babu yako ungebanjuka nae mbona inapita

    ReplyDelete

Top Post Ad