Aliyekamatwa na Dawa za Maumivu Afungwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekamatwa na Dawa za Maumivu Afungwa
Mwanamke wa Uingereza Laura Plummer aliyekamatwa na dawa za kutuliza maumivu katika uwanja wa ndege kwa ajili ya mumewe anayeishi nchini Misri afungwa miaka jela kwa miaka mitatu.


Lura ambaye alikamatwa Oktoba 9, 2017 katika uwanja wa ndege wa Misri baada ya kukutwa na vidonge vya dawa aina ya Tramadol, alivyokuwa akimpeleka mume wake anayekabiliwa na matatizo ya mgongo, kitendo ambacho kimeelezwa ni kosa kisheria nchini humo.

Familia ya Laura imesema inakusudia kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo waliyoitaja kuwa ni ya uonevu, kwani vidonge hivyo havina madhara yoyote kwa kuwa nchini Uingereza vinaruhusiwa mtu kuwa navyo, lakini ni kinyume na Misri.

Laura ameolewa na raia wa Misri ambaye anaishi nchini humo, na mara kwa mara amekuwa akienda kumtembelea.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad