Hamisa Mobetto Amtolea Mtu Povu ” Yani Naskia Bila Mimi Huwezi Kabisa Mrs Fudenge”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hamisa Mobetto Amtolea Mtu Povu ” Yani Naskia Bila Mimi Huwezi Kabisa Mrs Fudenge”
Mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye pia ni mzazi mwenzake Diamond Platnumz amezichukua tena headlines baada ya kupost picha katika ukurasa wake wa Instagram na kuandika caption zilizoleta gumzo kwa mashabiki lakini haijajulikana zimemlenga nani.

Hamisa Mobetto kupitia ukurasa wake wa instagram amepost picha zake mbili katika post mbili tofauti na kuandika “Yani naskia bila Mimi huwezi kabisa….🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️ yani upo nyang’anyang’a #mrsfudenge @mobettostyles 👑”


 Post nyingine ya Hamisa Mobetto alipost picha yake akiwa katika gari na kuandika maneno haya “Ety …. Naskia ukiona picha yangu Moyo wako unapiga paaah 🙆🏽‍♀️💘💖 #MrsNaniliuwh…🧜🏽‍♀️ @mobettostyles @mobettostyles”

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hawezi kabisa tena anajibabaisha tu wakupate wapi? mashallah umeumbika upole tabia yako mashallah mungu akuzidishie wenye wivu wajinyonge keep it up kimya kina mshindo mama wache na mbwe mbwe zao

    ReplyDelete
  2. Hamisa mama, Unatisha kwa Uzuri na Tabia.... Mashallah mie niko njiani kufanya kweli.
    Naomba Namba ya Mama Halafu ntakutana wewe bado niko Machimboni nataka nikija kiuhakika
    Nimeshakununulia Nyumba Za Lugumi na Gali gani unazo zitaka?
    Wewe ni Kioo ... Lebo yeyote unaweza kuifanyia kazi HASA UGHAIBUNI (TAILANDI AFRICAN FASHION NA EOROPEAN AFLIKAN WEEK.
    Lazima tufanye kweli NITAFUTE.

    ReplyDelete

Top Post Ad