Hili Ndilo Kanisa Linaloruhusu Watu Wanywe Pombe Wakati wa Ibada

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hili Ndilo  Kanisa Linaloruhusu Watu Wanywe Pombe Wakati wa Ibada
Kupitia NCA TV  ya Afrika Kusini imeonyeshwa taarifa ya kanisa jipya lililopo nje kidogo ya Johannesburg ambalo Waumini wake pamoja na Askofu wao wanakunywa pombe huku ibada ikiendelea.

Askofu mkuu wa kanisa hilo lijulikanalo kama Kabhula, Askofu Itiehth Makiti ameeleza kuwa lengo kuu la kanisa hilo ni kuwapokea watu ambao wametengwa na kukataliwa na jamii zao au Makanisa yao kutokana na tabia zao za kunywa pombe.

Ameeleza kuwa yeye kama kiongozi wa kanisa hilo analiongoza kwa kuonyesha mfano na hivyo hata yeye mwenyewe kabla ya kuanza kuongoza ibada anakunywa kilevi anachokipenda ambapo Waumini wapya hukaribishwa kwa maombi na kunyweshwa aina ya pombe wanazozipenda
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad