Mbunge wa Chadema Azua Gumzo Aitisha Mkutano na Waandishi wa Habari Ashindwa Kueleza Alichowaitia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunge wa Chadema Azua Gumzo  Aitisha Mkutano na Waandishi wa Habari Ashindwa Kueleza Alichowaitia
Mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA kutoka Mkoa wa Geita, Upendo Peneza leo Desemba 15, 2017, ameitisha mkutano na Waandishi wa Habari, Mkutano ambao umeleta gumzo mitandaoni kutokana na wimbi la Wabunge wa Vyama vya Upinzani kukimbilia CCM.


Mhe. Peneza ameitisha mkutano huo bila kueleza nini hasa anachoenda kuzungumzia kitu ambacho kimeleta maswali mengi kwa wafuasi wa CHADEMA nchini Tanzania.

Mkutano huo unajiri ikiwa ni siku moja tu imepita tangu Mbunge wa jimbo la Siha, Mhe. Godwin Mollel kutangaza kukihama chama hicho na kuhamia CCM.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hana mvuto wala athari ya kisiasa, abaki huko-huko, CCM tunataka kung'oa VISIKI, sio hizo takataka zinazo elea baharini akwendreeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad