AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Meya Boniface amefikia hatua hiyo baada ya kuwepo kwa taarifa zinazoenea kwa kasi kwamba Mbunge Mnyika amejivua uanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo pamoja na nafasi yake ya Ubunge.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Meya Boniface amerusha jiwe gizani kwa kutuma ujumbe kwa mtu anayempigia simu Mnyika kwa kumshawishi ahame chama kwamba aache kwani wao huwa wanamrekodi.
"Mwambieni Baba yenu aache kupiga simu ovyo, tumemrekodi na tutaendelea kumrekodi tumuaibishee......any time atume sms au apige tena aone..." Meya Boniface.
Ameongeza "Mnyika siyo dizaini ya hao unaowapigia simu na kuwahahidi vyeo na madaraka ya kuhongwa.....Tunakuweka loudspeaker tunakusikiliza tu.....ukikata simu tunacheekaa....Eti unamwambia binadamu mwenzako unamtaka kwa gharama yeyote.......ili nini?
Mwisho wa wiki hii kullikuwepo na habari inayosambaa kwa kasi mitandaoni ikisema kwamba Mnyika amejivua nafasi zake zote za uongozi ndani ya chama.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mbona mnamjibia?? Kwanini asijibu mwenyewe?? au wewe ndio msemaji wake??
ReplyDeleteNawewe Boniface tunakutaka kwa gharama yoyote.............unasemaje??