Mkuu wa Gereza Ukonga atoboa Siri ya Nguza, Papii Kuachiwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dar es Salaam: Mkuu wa gereza la ukonga Kamishna Msaidizi Steven Mwaisabila, amesema maisha ya mwanamuziki Nguza Vicking na mwanae, Papii Kocha gerezani
hayakuwa na vikwazo katika utendaji wa jeshi hilo.

Amesema mwanamuziki huyo maarufu kama Babu Seya alikuwa mtu wa watu na wakati fulani alishirikiana na wenzake kutoa burudani ya muziki akishirikiana na wenzake.

Nguza alikuwa mnyapara mkuu wa Bush na mwanae alikuwa kiongozi wa mpira wa miguu gereza na hawakuwa na tatizo gerezani ndiyo maana waonekane na wenyewe wanaweza kuachiliwa huru wakaungana na wenzao na kuwa raia wema.
VIDEO:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Weee usitudanganya hapa na hiyo tatle hamna Siri yoyote, Bali ni maamuzi ya Raisi tu ndio yaliyowaweka huru kutoka kwenye kifungo cha utata, usioeleweka ndani yake, Raisi ANA mamlaka hiyo kwa mujibu wa sheria

    ReplyDelete

Top Post Ad