Mrisho Gambo Asema Lema Yupo Mbioni Kuhamia CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrisho Gambo Asema Lema Yupo Mbioni Kuhamia CCM
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo jana Disemba 10,2017 ameweka picha kwenye mtandao wake wa Facebook akiwa na Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Godbless Lema na kusema kuwa yupo mbioni kurudi nyumbani.

Baada ya kuweka picha na ujumbe huo baadhi ya watu walianza kusema kuwa Mkuu wa mkoa huyo anafanya siasa rahisi huku wengine wakisema ni jambo ambalo haliwezekani Mbunge huyo wa CHADEMA kurudi CCM ili hali wapo ambao wanatamani jambo hilo litokee hata leo. 
"Msituko. Yupo mbioni kurudi nyumbani" aliandika Mrisho Gambo 
Haya ni baadhi ya maoni ya watu katika mtandao wa Facebook wa Mrisho Gambo baada ya kuweka picha akiwa na Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA. 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mh Gambo...!!!
    Usiunguze pichaaaaa..... Isije ikampa Hati ataki Flemani mtoe baada ya kupotea home glaudi kule Hai.
    Nie nilikuwa na Gidilessi na Nia hiyo Anayo... Lakini anangoja wakati mwafaka huku akisikitishwa na la myakiti wa sakozi yake anaweza kupata msituko wa moyo na kama hato zilai anaweza kupoteza UHAI wake.

    Hatua ni kweli iko njiani...Nia sahihi pia Iko... ILA ANANGOJA WAKATI MUAFAKA KAMA KUBENEA>>>
    MSILIUNGUZE PICHA SASA HIVI.
    Karibu Godilesi Chukua wakati wako ...

    ReplyDelete

Top Post Ad