Shilole Amkingia Kifua Mume Wake "Mume Wangu Ajawahi Kuoa"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shilole Amkingia Kifua Mume Wake "Mume Wangu Ajawahi Kuoa"
Msanii Zuwena Mohamed ‘Shilole’ (katikati) akiwa na mpenzi wake waliyefunga naye ndoa, Ashraf Uchebe (kushoto) katika picha ya pamoja baada ya ndoa hiyo jijini Dar es Salaam.

BAADA ya hivi karibuni kufunga ndoa na Ashraf Uchebe, msanii wa muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungukia tetesi za kuwa amemchukua mume wa mtu na kusema siyo za kweli.

Akipiga stori na Risasi Vibes, Shilole alisema mumewe hana mwanamke mwingine na hajawahi kuoa bali yeye ndiye mkewe halali hivyo wanaosema kwamba ana mke ni waongo, anachomshukuru Mungu ni kwamba anafurahia ndoa yake na mambo yanaenda vizuri.

“Maisha ya ndoa ni mazuri sana tofauti na kipindi sijaolewa, kilichobadilika ni kwamba kila kitu ninacho-kifanya
lazima nimshirikishe mume wangu kuhusu wanaosema ana mwanamke mwingine ni waongo kwani hajawahi kuoa na hakuna mwingine zaidi yangu,” alisema Shilole.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sasa tulia wacha kujizuzua kujifanya mjinga na kuvaa nguo zisizokuwa na maana mtitobwa kiisalam fuata madili yenu sio kujiwehua na kulewa kukaa uchi untia aibu especially ur kids wazazi wako kuwa mwanamke lazima ujitambue

    ReplyDelete

Top Post Ad