Young Killer Afunguka Kuhusu Kolabo Yake na Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Young Killer  Afunguka Kuhusu Kolabo Yake na Diamond
Msanii wa muziki Bongo, Young Killer amefunguka kuhusu ujio wa kolabo yake na Young Killer.

Rapper huyo ambaye anatamba na ngoma ‘Toto Tundu’ ameiambia FNL ya EATV kuwa ngoma hiyo itatoka pindi albam ya Diamond itakapotoka kwa sababu imejuishwa huko.

“I think inatoka katika albam yake ya A Boy From Tandale ambayo nahisi inatoka mwezi huu wa 12, so katika list nimeingali pale nadhani ipo namba nne” amesema Young Killer.

Alipoulizwa iwapo ngoma hiyo itatoka kama yake official, alijibu “chochote kinaweza kutokea kwa sababu ni ngoma kali na watu inabidi waisikilize”.

Hii ni ngoma ya pili kwa Young Killer kufanya kolabo na msanii wa WCB baada ya kufanya na Harmonize.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad