Zari Amkumbuka Marehemu Ivan Don Amtumie Ujumbe Mzito "Maisha Hayapo Sawa Tena"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zari Amkumbuka Marehemu Ivan Don Amtumie Ujumbe Mzito "Maisha Hayapo Sawa Tena"
Miezi saba toka mzazi mwenzake Zari, Ivan Ssemwanga kufariki dunia ambapo kama angekuwa hai siku ya leo December 12, 2017 angekuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa na hivyo Zari kuamua kuadhimisha siku hii kwa kupost maneno yenye majonzi kupitia mtandao wake wa snapchat.




Na huu ndio ujumbe wa Zari kwa marehemu Ivan Don“heri ya siku ya kuzaliwa Don, umeondoka lakini kamwe hautosahaulika, tunakukumbuka, maisha hayako sawa tena,watoto wanakukumbuka, tunakuombea kila siku, endelea kupumzika kwa amani”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad