Aunt Ezekieli:Sina Kawaida ya Kuweka Maisha Yangu Kwenye Mitandao Ila Huku Tunakoendea Dah! Wanaume!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aunt Ezekieli Yamemfika Hapa..... "Dah!wanaume!"
Muigizaji kutoka Bongo Movie Aunty Ezekiel amechukua headlines  katika mitandao ya kijamii baada ya kupost caption ambayo imeacha maswali kwa baadhi ya mashabiki kupitia ukurasa wake wa instagram na wengi kutafsiri hueda akawa kwenye migogoro na baba mtoto wake Mose Iyobo.

 “Sina kawaida ya kuweka Maisha yangu kwenye Mitandao ila huku tunakoendea 🙌 Dah!wanaume!!!!👍“

Ingawa Aunt Ezekiel ni miongoni mwa waigizaji kutoka Bongo Movie ambao hawapendelei kuweka maisha ya mahusiano yao ya kimapenzi katika mitandao ya kijamii.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. keep it cool wacha hawa wanaosema waumezao wanafokonyolewa upimbafu mtupu huu

    ReplyDelete

Top Post Ad