Mashinji Akanusha Taarifa za Kuugua Ghafla Alizozushiwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mashinji Akanusha Taarifa za Kuugua Ghafla Alizozushiwa
 Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji amesema yeye ni mzima na huenda kuna makosa yametokea kumuhusisha yeye kuwa ni mgonjwa.

Dk Mashinji akizungumza na Mwananchi muda mfupi baada ya kuwa kuripotiwa kuwa ameugua ghafla na kupelekwa  Hospitali ya Amana.

Amesema kuwa yeye ni mzima na anakula ugali. Hivi sasa yuko katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema inayoendelea jijini Dar es Salaam.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad