Chin Bees Afunguka Kuhusu Skendo ya Picha za Utupu na Mwanamke

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chin Bees Afunguk Kuhusu  Skendo ya  Picha za Utupu na Mwanamke
Msanii wa Bongo Fleva anayefanya vizuri kwenye mitindo ya Trap, Chin Bees baada ya kupata skendo kwenye mitandao ya kijamii kwa kusambaa picha akiwa mtupu na mwanamke chumbani, hatimaye amekiri picha hizo zilisambazwa na watu wasiomtakia mema, kwani alikuwa amepoteza simu yake.

Chin Bees ameiambia  eNEWZ kwamba picha iliyosambaa mitandaoni kweli ilikuwepo kwenye simu yake na huyo mwanamke aliwahi kuwa mpenzi wake lakini hakufanya kusudi kuziweka mitandaoni kama jinsi ambavyo watu walivyoanza kumshtumu na kumwambia anatafuta kiki.

"Hiyo picha iloyosambaa kwanza sijajua ni nani aliyeisambaza kiukweli ila sio mimi na huyo dada sipo nae tena kwenye mahusiano, na hayupo hata Tanzania. Lakini ninachofahamu nilipoteza simu yangu muda kidogo nilikuwa kwenye bata  moja hivi. Mimi nimefanya kazi zangu za muziki mpaka leo sijatumia kiki sasa kwanini ijekuwa leo" Chin Bees.

Pamoja na hayo Chin Bees amesema kwamba baada ya kutumiwa picha hizo alilazimika kumtafuta mwanamke huyo na kumuuliza kuhusu kusambaza picha hizo lakini pia alikanusha.

Hii ni skendo ya kwanza kwa Chin Bees kuanikwa mitandaoni kwa kusambaa picha zake za utupu akiwa na mwanamke tangu kuanza safari yake ya muziki.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad