Huyu Ndiye Binadamu Mwenye Nywele Nyingi Zaidi Duniani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kutoka katika Mtandao wa World Ranking ambapo umemtaja Yu Zhenhuan wa China  kuwa ndiye mwanaume mwenye nywele nyingi zaidi duniani.

Mwili wa Yu Zhenhuan umefunikwa na nywele nyingi tofauti na binadamu wengine hali iliyosababishwa na yeye kuwa na ugonjwa unaofahamika Hypertrichosis.

Sasa anataka kuondoa sehemu muhimu ya nywele kutoka kwenye mwili wake. Lakini nywele zote zitahitajika kuteketezwa kwa laser na utaratibu huu utamsababishia maumivu makali sana katika mwili wake.

Yu Zhenhuan amekuwa kwa muda mrefu anaishi na mkewe ambaye amekuwa akimsaidia kupata njia ya kumwezesha kupunguza nywele katika mwili wake huo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad