Msukuma amrushia kombora Msigwa kwenye jimbo lake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma baada ya kumaliza kampeni za kumnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Songea Mjini Dr. Damas Ndumbaro, January 13, 2018 alipita mkoani Iringa ambapo aliungana na Mbunge Viti Maalumu Iringa Ritha Kabati na kukabidhi msaada kwa watu wenye ulemavu wa ngozi.

Moja ya kitu ambacho Musukuma alikiongea mkoani Iringa ni kuhusu muonekanao na hali za wakazi wa Iringa akifananisha na watu katika Jimbo lake la Geita Vijijini.

Musukuma amesema “Nimeiona Manispaa ya Iringa, nilidhani ni kama Ulaya kumbe ni kama Geita, nashangaa hata Halmashauri yenyewe imechoka, nikamkumbuka sana Msigwa, haya mambo uliyoyafanya yalitakiwa yafanywe na Msigwa,”– Musukuma
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad