Kagame awasili na kupokelewa na Rais Magufuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


ais wa Rwanda, Paul Kagame amewasili nchini leo Januari 14 kwa ziara ya siku moja na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais John Magufuli.

Baada ya kuwasili katika uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNIA), Rais Kagame alielekea katika chumba maalumu na kukaa hapo kwa takribani dakika 30.

Aliondoka uwanjani hapo saa 4:45 na kuelekea Ikulu ambapo atafanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Magufuli.

Hii ni mara ya pili kwa Kagame kuwasili nchini na kufanya mazungumzo na Rais Magufuli tangu mwaka 2015. Mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2016 ambapo alifanya ziara na kushiriki maonesho ya 40 ya biashara (Sabasaba).
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad