Mwizi Baada ya Kukusanya Vitu Alivyotaka Kuiba Apitiwa na Usingizi Alala Kwenye Kochi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwizi Baada ya Kukusanya Vitu Alivyotaka Kuiba Apitiwa na Usingizi Alala Kwenye Kochi
Hivi karibuni jeshi la Polisi nchini Ujerumani katika ukanda wa kati limemtia mbaroni mwanaume mmoja mwizi ambaye aliingia kwenye nyumba moja, akiwa na dhumuni la kuiba lakini baada ya kukusanya vitu anavyotaka kuondoka navyo, akapitiwa na usingizi kwenye sofa la ndani ya chumba cha mazoezi ya yoga katika nyumba hiyo.

Ilipofika asubuhi wenyeji wa nyumba hiyo walikuta mwizi huyo amelala kwenye kochi lao na vitu alivyotaka kuiba vikiwa tayari vimefungashwa na ndipo walipotaarifu polisi kuhusu tukio hilo.

Taarifa ya polisi ilieleza kuwa mwanaume huyo wa miaka 40 aliingia kwenye nyumba hiyo usiku akitaka kuiba na kueleza kuwa inawezekana alikuwa ametumia dawa za kulevya jambo lililomfanya ashindwe kutoka badala yake alale usingizi kwenye kochi hilo.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad