Tume Yaundwa Kuchunguza Mauaji ya Askari 15 wa Tanzania Waliouwawa DRC

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tume Yaundwa Kuchunguza Mauaji ya Askari 15 Waliouwawa DRC
January 6, 2018 Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema umoja huo utachunguza shambulizi lililofanyika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo mwezi uliopita ambapo wanajeshi 15 wa kulinda amani wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania waliuawa.



Dmitry Titov, raia wa Urusi ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameteuliwa kuongoza uchunguzi wa mazingira yaliyolizunguka shambulizi hilo, kutathimini iwapo kikosi cha wanajeshi wa kulinda amani kilikuwa tayari kujihami dhidi ya mashambulizi na kutoa mapendekezo ya kuepusha mashambulizi zaidi..

Mbali na maafisa wa Umoja wa Mataifa kuhusika katika uchunguzi, maafisa wawili wa kijeshi kutoka Tanzania watajumuishwa katika kundi hilo la uchunguzi. Waasi wa kundi la Allied Democratic Forces ADF wanashukiwa kuhusika na shambulizi hilo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad