Vikao vya Kamati za Bunge Kuanza January 15

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Vikao vya Kamati za Bunge Kuanza January 15
Taarifa kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo January 12, 2018 zinaeleza kuwa Vikao vya Kamati za Bunge vinatarajiwa kuanza Jumatatu tarehe 15 hadi 27 January, 2018 Mjini Dodoma, hii ikiwa ni kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kumi wa Bunge.

Shughuli ambazo zimepangwa kutekelezwa katika kipindi cha vikao hivi ni pamoja na ziara za ufuatiliaji, uchambuzi wa miswada mbalimbali na kupokea maoni ya wadau, na kupokea taarifa za utendaji za wizara.

Kamati tatu za kisekta ambazo zitakuwa na jukumu la uchambuzi wa miswada ya sheria mbalimbali ni pamoja na kamati ya Katiba na Sheria, kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii pamoja na kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad