Baada ya Mama Samia Kuvutiwa na Caver ya Subalkheri Awaalika Aslay na Nandy Nyumbani Kwake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Kuvutiwa na Caver ya Subalkheri Mama Samia  Awaalika Aslay na Nandy Nyumbani Kwake
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana jioni aliwakaribisha nyumbani kwake wasanii wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka ‘Dogo Aslay’ na Faustina Charles maarufu kama Nandy kwa ajili ya mazungumzo mafupi na chakula cha jioni.

Katika mazungumzo yake na wasanii hao, Bi Samia alieleza kuvutiwa sana na marudio ya kibao cha SUBALKHERI kilichorudiwa na wakali hao wa Bongo Fleva hivi karibuni na kuwapa wosia wa kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi na kujiepusha na makundi mabaya.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mmhh Nandi mdogo wangu unapokuwa unaenda kwa viongozi jaribu kuchagua nguo za kuvaa Aslay yuko smart ila wewe hicho kimini hakikupaswa kabisa hapo,,acheni kuiga mambo ya ulaya jamani duu ,,, sasa hapo kama msanii unaitangaza vipi nchi yako .

    ReplyDelete
  2. Nandi unaenda kwa muheshimiwa unavaa kiguo hicho? mbona nyie wasanii wakike hamujiheshimu?

    ReplyDelete

Top Post Ad