Haji Manara Amvaa Goli Kipa wa Yanga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Haji Manara Amvaa Goli Kipa wa Yanga
Afisa habari wa Simba Haji Manara ambaye amekuwa na utamaduni wa kupenda kuwatania watani wao wa jado Yanga kupitia account zake za mitandao ya kijamii na imekuwa kama kitu cha kawaida.

Leo kupitia ukurasa wa instagram wa Haji Manara ameandika ujumbe wa kumkosoa golikipa wa Yanga raia wa Cameroon Youthe Rostand baada ya kutumia kauli mbiu ya Simba na kuandika “Yanga Nguvu Moja”



Baada ya kuona hivyo Haji Manara akaandika hivi “Nilisema wazi ipo siku kila mtanzania atashabikia Simba…imekuwa desturi kwa sasa kipa huyu wa Yanga kutumia kauli mbiu yetu..NGUVU MOJA…ile daima kuna mwiko nyuma kuna upawa haitaki kabisa!!”

Inawezekana Rostand kutokana na ugeni wake akawa hafahamu kuwa kauli ya “Nguvu Moja” ya Simba SC na ameichukulia kama ni usemi wa kawaida tu lakini kauli mbiu ya Yanga wao ni “Yanga daima mbele nyuma mwiko”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahahaha! Manara nimemgawa buuureeee.......nyuma kuna upawa tehetehetehe

    ReplyDelete

Top Post Ad