JB Amekaa Kupigwa Pigwa - Dude

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

JB Amekaa Kupigwa Pigwa - Dude
Mwigizaji Kulwa Kikumba maarufu zaidi kama Dude amefunguka na kudai ameshawahi kumuingiza mjini msanii mwenzake Jacob Stepheni (JB) kwa kumtapeli laki moja na thelathini japokuwa mwenyewe alifahamu.


Dude ameeleza hayo kwenye Big Chawa ndani ya kipindi cha Planet Bongo ya East Afrika Radio baada ya kuulizwa ni msanii gani amekaa kizembe zembe ambaye anaweza akatapeliwa kiurahisi.

"JB si unamuona amekaa kupigwa pigwa hivi, anachelewa kukumbuka kwanza mimi nimeshawahi kumpiga kiukweli kabisa kama shilingi laki 1 na thelathini. Anajua JB lakini alitoa kwa sababu mimi ni ndugu yake pia ni rafiki yake", alisema Dude.

Pamoja na hayo, Dude aliendelea kwa kusema "JB ni mtu mmoja poa sana yani yule unaweza kumuingia wakati wowote ule ukiwa na shida za haraka haraka ukimdanganya tu umemuingiza mkenge".
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad