Maneno ya Zari Leo Baada ya Masaa Machache Kutangaza Kumuacha Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Maneno ya Zari Leo Baada ya Masaa Machache Kutangaza Kumuacha Diamond
Baada ya kupita takribani kwa masaa 35 tangu Zari The Bosslady kutangaza kuachana na Diamond, mrembo huyo ameibuka na ujumbe mpya ambao unaonekana kama ametupa jiwe gizani.

Kupitia mtandao wa Instagram leo (Ijumaa), mrembo huyo amepost picha mbili zenye ujumbe tofauti. Katiaka picha ya kwanza hiyo hapo juu ambayo ameiweka kwenye mtandao huo, Zari ameandika, “Consistency is key #Mompreuer.”

Wakati huo huo kwenye picha nyingine malkia huyo ameandika, “Me when people ask what I do…. whatever it takes👌.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. JAMANI HAYA MADRAMA MPK LINI, TUMECHOKA NA MAMBO YENU BILA KIKI HAMUWEZI KUISHI? KILA SIKU MNATAFUTA KIPYA ILI MUONGELEWE NYINYI TU, HAKUNA KUACHWA HAPO WALA KUACHA

    ReplyDelete
  2. kweli kabisa angejiheshimu angeheshimika mtu mzima hovyoooo, wapi hamisa huyo ndio aliokuweza na mtoto juu

    ReplyDelete
  3. mambo ya kwenu sholud be private so kila ukifanya kubwa na dogo ukaweka kwenye media its like you need people attention isitoshe umri wako sio wa kuwehuka heshimu nafsi yako na watt wako umeamua you break up with the guy finish the more ukiweka kwenye media hii inaonyesha you him back using media for people to apologise on his behalf then for you to come back and saying ohh because of people umemsamehe you decided yourself kuamuacha dai now move on with urlife na yeye will move wanawake wengi tu atapata wakumliwaza unless you want to be like a cat anatapika halafu anarudi kuramba matapishi yake

    ReplyDelete

Top Post Ad