Mrisho Gambo Darasa Wanaume "Epukeni Wanawake wa Aina Hii"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrisho Gambo Darasa Wanaume "Epukeni Wanawake wa Aina Hii"
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amewashauri wanaume nchini waliyo kwenye mahusiano na wanawake ambao hawana mawazo ya kupambana na hali ya uchumi kwa sasa, kujiondoa mara moja kwenye mahusiano hayo kwani ni hatari kwao kwa maisha ya baadae.

Gambo amesema kama mwanaume unataka uwe na uchumi mzuri kwa kipindi hiki ni bora ukaachana na wanawake wanaopenda starehe na kuwa na mwanamke mwenye kutoa ushauri namna gani ya kujikwamua katika maisha haya ya sasa ambayo watu wengi wanalalamika kuwa ni magumu.

“Mwanaume Kama unania ya dhati kuwa na economic freedom in this tough economy basi inatakiwa uepukane na wale wanawake aina ya “Babe nina njaa, nibebee Pizza au Chips kuku asisahau kuweka mayonaise” au “Babe simu Iphone X imetoka naomba ninunulie”. Achana na huo ujuha…Badala yake pata mwanamke aina ya “Babe umekula au unataka nikupikie chakula gani leo” au “Babe ni nini future yako naona hujaweka vizuri vipaumbele vyako”. Spidi ya mwanaume kuwa na maendeleo na hatimae kushinda uhuru wa kiuchumi inategemeana sana na aina ya mwanamke uliyenae,“ameeleza Mhe. Gambo kwenye ukurasa wake wa Twitter na kumuelezea mwanamke bora wa kuoa.

“Mwanamke bora ni Uwekezaji wenye faida kubwa na mwanamke asiejua nafasi yake ni Mzigo na Liability kubwa sana. Na pale upatapo maendeleo usiwe mbahili… usisahau ku-enjoy na mwanamke aliyekua nyuma ya mafanikio yako..” that’s smart dating and how we smart people do.“ameeleza Gambo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. USHAURI MZURI SANA MIE SIO MWANAUME ILA NILIVUTIWA KUSOMA... LAKINI WANAUME SIO WOTE WANAPENDA KUSHAURIWA MWINGINE ANATAKA KUFANYA MAMBO KIVYAKE USHAURI WA MWANAMKE ANAUDHARAU.

    ReplyDelete
  2. Vip na wanaume tegemezi kwa wanake nao wasiopenda jishughulisha bila Shaka wapo na wengi. Tena zile shughuli halali Sio wizi, ujambazi upolaji. Weweee unangalia wanaume tu, wapo wanaume Vimeo Pia na ni wengi, itabidi wanawake nao wawapige chini hawafai katika jamii

    ReplyDelete
  3. KAKA HUWA SIPENDI MAMBO YAKO MENGI UNAYOSUMUZA ILA KWA HILI NAKUPA PONGEZI. MI SIO MWANAUME ILA ASANTE KWA KUWAMBIA NA KUWAAMSHA WENZAKO

    ReplyDelete

Top Post Ad